Fuga Kidigitali na Mobivet

- mobivet.app

Mobivet ni programu ya simu iliyoundwa katika lugha ya Kiswahili ili kukupa urahisi unaohitaji wakati unatunza mifugo yako. Lengo letu ni kuongeza ufanisi wako wa ufugaji kwa kutumia zana bora za kidijitali. Kwa kutumia Mobivet, tunakuunganisha na watoa huduma mbalimbali katika sekta ya mifugo. Mobivet inakuunganisha n

Not Applicable $ 8.95