Chumo Nyumbani

- chumofilm.com

Juma ni mvuvi maskini anayependa sana kupiga hadithi. Amina ni msichana anayependa kusikiliza hadithi zake . Wanatamani wawe pamoja, lakini baba yake Amina, Ali, anataka binti yake awe na maisha mazuri. Ali anamwona Yustus, kijana tajiri, mwenye kujituma kuwa ndiye anayefaa kuwa mchumba. Inambidi Juma atumie nyenzo zak

Not Applicable $ 8.95